KICHIMBAJI KOBELCO SK850LC

Fomu Ya Uchunguzi

SK850LC kinakidhi masharti yote magumu ambayo lazima yafikiwe na kichimbaji kikubwa kinachofanya shughuli zinazotaka uangalifu na zenye kuendelea. Kwa hivyo karibu kwa mwanzo wa kiwango kipya cha utendaji kazi: ACERA GEOSPEC SK850LC ya tani 80.

Mashini hii ina kila kitu: uzalishaji wa kiwango cha juu zaidi kwenye daraja yake; mtambo wa nguvu ulio madhubuti, kudumu kuzuri zaidi kuliothibitishwa uwanjani kwenye mashini za kuvunja majengo makubwa; usafiri rahisi; na ubunifu uliowajibika kimazingira unaopunguza matumizi ya fueli na gharama za utendaji kazi. Kwa ufupi, SK850LC kinakidhi masharti yote magumu ambayo lazima yafikiwe na kichimbaji kikubwa kinachofanya shughuli zinazotaka uangalifu na zenye kuendelea. Kwa hivyo karibu kwa mwanzo wa kiwango kipya cha utendaji kazi: ACERA GEOSPEC SK850LC ya tani 80. Pamoja na ubunifu wake wenye ufanisi na kun’gara, inaleta mtindo mpya kabisa kwenye eneo la kazi ambao unakubaliana na uzuri wa kiasili wa dunia yetu.

Specifications :

  • Injini : 496 hp
  • Uzito wa Utenda Kazi : 78,200 kg – 80,500 kg
  • Nafasi ndoo : 2.8 – 5.4 m3 ISO heaped
  • Mkusanyiko : Large
  • Mfumo Haydroliki :
  • Mfumo Usafiri : 2 X axial-piston, two-step motors