KICHIMBAJI KOBELCO SK210HDLC

Fomu Ya Uchunguzi

Tukitumia teknolojia zetu za hali ya juu, tuliunda SK210HDLC ya KOBELCO, kichimbaji cha aina mpya kabisa kinachosawazisha kwa uzuri mahitaji yote ya sekta ya ujenzi ya leo. 

Iliyokonda na yenye ufanisi pamoja na nafasi pia, vyombo hivi vya nguvu vyenye kun’gara vinaleta mtindo mpya kabisa kwenye eneo la kazi, huku ikiweka viwango vipya vya kuwajibika kimazingira.

Specifications :

  • Injini : 158 hp
  • Uzito wa Utenda Kazi : 21,400KG
  • Nafasi ndoo : 0.8 m3 ISO heaped
  • Mkusanyiko : Medium
  • Mfumo Haydroliki : Two variable displacement pumps + 1 gear pump
  • Mfumo Usafiri : 2 X axial-piston, two-step motors