KOMPAKTA KIPIMO KIDOGO MAZZOCCHIA - MINISTAR

Fomu Ya Uchunguzi

Lori Tipa la Wembe mmoja la Ministar: Kikusanyaji cha kubeta cha kihaydroliki kimeundwa na chuma kilichochomelewa na kimefungwa kabisa; imehamiwa na wembe-mmoja, ambao unawezeshwa na silinda haydroliki 4 za kutenda mara mbili, ni murwa kwa kukusanya karatasi, kadibodi, plastiki na mbolea.

Fratelli Mazzocchia ilianza shughuli kwenye mtambo ulioko Frosinone mwaka wa 1967. Miaka zaidi ya 40 ya uzoefu, ubadilishaji, ubora na ubunifu iliipatia kampuni ujuzi na uzoefu unaofaa ili kukidhi daima mahitaji ya soko za kinyumbani na za kimataifa za kusafirisha taka.
Ili kuhakikisha ubora wa bidhaa, Fratelli Mazzocchia inatengeza vifaa vinavyofaa kulingana na UNI EN ISO 9001 (ed.2008) iliyothibitishwa tangu 1998 (cermet) na pia ISO 14001:2004 kwa mfumo wa usimamizi wa kimazingira;
Kwa ziada mkusanyiko mzima wa uzalishaji unatii kanuni za CE. Bidhaa zilizothibitishwa kulingana na agizo mashini na UNIEN 1501.

Kubadilisha Muundo:
- Vidhibiti vya kiumeme vyenye kusongea kwa kibebaji-pipa
- Ubanaji wa kujiendesha wa mapipa
- Kitengo cha kutuliza kwa mapipa
- Kibebaji mfuko wa taka kimejumuishwa pamoja na kibebaji-pipa
- Kitengo cha utambuzi na kupima uzito
- Skrini ya rangi na kamera ya filamu
- Paneli dhibiti na usimamizi data kwenye kabu ya dereva, iliyochanganywa na mifumo ya kusimamia fliti

Vifaa vya Kawaida
- Viambatanisho vya kawaida vya vibebaji-pipa vya hadi lita 1700 
- Inabwaga kwa gari kubwa zaidi

Specifications :

  • Kiasi cha mwili : 3,5-8 mc
  • Fremu : Two axles, light
  • MTT : From 2,2 to 8 Ton